Skip Main Navigation
Page Content

“The TEDxDar Conference is intended to continue a process of public engagement and exchange of ideas in relation to innovation, society, culture, arts – a wide range of interdisciplinary issues that pertain to Tanzania at a local and global level. The forum is based on the belief in active discourse and public engagement in reaction to institutional constraints on creative development. The aim is to gather a wider array of individuals with various perspectives and specializations to hold TED-like 20 minute talks that will form the basis of a larger conversation and collaborations.”

 

“Mkutano wa TEDxDar una lengo la kuendelea na mchakato wa kushirikisha raia na kubadilishana mawazo kuhusiana na ubunifu, jumuiya, utamaduni, sanaa na masuala mbalimbali yanayohusiana na Tanzania katika kiwango cha nchi na kimataifa. Mkutano huo unatokana na imani katika kuendelea kwa mawasiliano na kuhusisha raia kwa kuitikia vikwazo vya kitaasisi katika maendeleo ya ubunifu. Lengo ni kukusanya kundi kubwa la watu wenye mitizamo mbalimbali na utaalamu kutoa mada za dakika ishirini za kanuni za TED ambazo zitaunda msingi wa mazungumzo mapana na ushirikiano wa dhati.”

Save This Event

Event Saved